Ruwaza yangu ya kuhakikisha kuwa mji wa Malindi umeng’ara na kurudisha hadhi yake kiutalii ingalipo. Leo nimepata fursa ya kuzungumza na wafanyibiashara kutoka dini ya kiislamu kuhusu utalii, kupanua mipaka ya uwanja wa ndege wa Malindi pamoja na kurembesha mwambao wa Malindi na Kilifi kwa ujumla.
Na hakikisho langu kwa wanaKilifi ni kwamba uchumi utakomaa kupitia utalii kama awali.
Pia, nachukua nafasi hii kumpongeza ndugu yangu Shariff Naseen kwa kufunga ndoa jumamosi hii kwa mkewe.
H.E Governor-Elect
“Ruwaza yangu ya kuhakikisha kuwa mji wa Malindi umeng’ara na kurudisha hadhi yake kiutalii ingalipo.”
H.E. Gideon Mung’aro – Governor, Kilifi County